Tafuta Maarifa ya Kilimo

Menyu
Habari/Makala

Homa ya nguruwe yapiga Kanda ya Ziwa

January 23, 2021 · Kilimokwanza · 2 dakika ya kusoma

DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati  ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda ya Ziwa hivi karibuni…

Habari/Makala

Wasindika mchele na soko la Afrika mashariki

January 21, 2021 · Kilimokwanza · 3 dakika ya kusoma

KAHAMA: 21.1.2021  WASINDIKAJI wa mchele  wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC  ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta wakigiombea wanunuzi wa…

Habari/Makala

Tani 36,298 za katani zazalishwa 2020

January 20, 2021 · Kilimokwanza · 2 dakika ya kusoma

MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni kuzalisha tani 42,286 kwa…

Habari/Makala

Mhandisi wa Umwagiliaji mkoa wa Tabora matatani

January 14, 2021 · Kilimo Tanzania · 3 dakika ya kusoma

TABORA: 14.01.2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpangia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Tabora baada ya kushindwa kusimamia skimu…

Habari/Makala

Kilimo kupitia upya Sheria ya Ushirika

January 6, 2021 · Kilimo Tanzania · 2 dakika ya kusoma

Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika  na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika itakayoendana na mazingira…

Habari/Makala

Waziri wa Kilimo aelezea vipaumbele chake

December 21, 2020 · Linnet Muchoki · 2 dakika ya kusoma

DODOMA, 21:12;2020 WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo. Waziri wa Kilimo…