Vyakula vyawasilishwa kusaidia wanafunzi kusoma kikambi
NACHINGWEA: 22:7:2019 MKUU wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amewataka wadau wa elimu mkoani humo kusaidia mahitaji ya kambi za ‘mada tata’ kusaidia juhudi za serikali kuinua elimu katika mkoa huo. Kauli hiyo imetolewa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango wakati akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya kambi 74 za madada katika…