Improving the livelihood of small-scale farmers
Taking a New Look at Africa's Agriculture; Develoepmental Communication

SERIKALI YA TANZANIA KUTUMIA ZAIDI YA SH MILIONI 100 KUIMARISHA KITUO CHA KUTOTOLEA VIFARANGA VYA SAMAKI

SONGEA: Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dk Rashid Tamatamah amesema kuwa Serikali imepanga kutumia Shilingi Milioni 110 kwa ajili ya kuimarisha miundo mbinu ya Kituo cha Kutotolesha Vifaranga vya Samaki cha Ruhila ili kiweze kuzalisha vifaranga vitakavyokidhi mahitaji yaliyopo sasa. Dkt. Tamatamah aliyasema hayo leo alipotembelea kukagua shughuli zinazofanywa na kituo hicho kilichopo Mkoani Ruvuma. Alisema…

Read More

AASISI ZA FEDHA ZAAHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO

DODOMA: Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa thamani wa zao la Samaki huku wakiahidi kutoa mtaji ili kuliimarisha shirika hilo. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi…

Read More

Kampeni ya “ondoa mapori ongeza uzalishaji” yapamba moto Mtwara

Na Mwandishi Maalumu, Mtwara TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele Mtwara, imetoa mafunzo ya namna ya kubebesha vikonyo vya mikorosho katika mikorosho iliyozeeka kwa wakulima wa kata ya Madimba mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni ya “ondoa mapori ongeza uzalishaji” yenye lengo la kuongeza uzalishaji na tija kwa zao la korosho mkoani Mtwara. Mafunzo…

Read More

Tanzania: Major Inputs Stimulus to Boost Small Scale Farmers

Tanzania Daily News (Dar es Salaam) By Yasinta Amos in Arusha More than 100,600 smallholder farmers in Tanzania will be receiving grain and vegetable seeds’ grants worth US$ 493,500 to assist them in sustainable food production. Through its new “Better Farms, Better Lives” initiative, Bayer, a life-science oriented multinational company will run the programme for the next 12 months, starting this…

Read More

Dr. Agnes Kalibata-Hungry for change:

An open letter to African governments In 2020, the entire world knew what it was to be hungry. Millions of people went without enough to eat, with the most desperate now facing famine. At the same time, isolation took on a new meaning, in which the lonely and most remote were deprived of human contact when they most needed it, while the many…

Read More