Mama Seki: nimeigia mikataba na wakulima wadogowadogo kuniuzia mahindi, Ruvuma na Iringa
Na Mwandishi wetu BARAKA kubwa katika kazi za mikono hutegemea zaidi namna unavyofanya menejimenti ya program unayoifanya na mkazo unaotilia ili uweze kutoboza. Hata kama utaletewa mafunzo ya namna gani kama usipotia nia na kuweka mpango wako katika utekelezaji huwezi kufanikiwa. Hayo ni sehemu tu ya baadhi ya maneno ambayo yamezungumwa katika mahojiano na msagishaji wa mahindi na kuzalisha…