Month: October 2020

Bil 56/- zatumika kujenga vihenge vya kisasa

Njombe Serikali ya awamu ya tano imetumia shilingi Bilioni 56 kujenga vihenge vya kisasa na maghala ili kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kufikia tani 501,000...