Improving the livelihood of small-scale farmers
Taking a New Look at Africa's Agriculture; Develoepmental Communication

Tanzania horti export potential might be $2+ billion

The African nation of Tanzania is currently exporting horticulture produce valued at more than US$780 million. However, the industry’s potential is estimated to be more than US $2 billion. The money might be flowing in as new markets are opened up abroad. Dr Jacquiline Mkindi, the Chief Executive Director for TAHA, said: “Our flagship horticultural products include avocados from…

Read More

Mali za ushirika za Bil 61 za vyama vya Nyanza, Geita na Simiyu zarejeshwa

Mwanza, 23:11:2020  Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kurejesha mali za vyama vikuu vya ushirika Nyanza, Geita na Simiyu zenye thamani ya Shilingi Bilioni 61 zilizokuwa zikimilikiwa kinyume cha utaratibu. Akikabidhi hati 37 kwa wenyeviti wa vyama vya Nyanza (NCU),Geita (GCU) na Simiyu (SIMCU) leo (23.11.2020) jijini Mwanza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya amesema kazi hiyo ni…

Read More

Kusaya ataka fedha za wafadhili kuendeleza kilimo shambani

Musoma,19:11:2020 Serikali imezitaka taasisi na mashirika binafsi yanayopokea fedha toka kwa wahisani na wafadhili ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kilimo kuhakikisha kwamba wanazitumia katika miradi hiyo ili kukuza sekta ya kilimo na kuwawezesha wakulima kupata kipato. Kauli hiyo ya serikali imetolewa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya wakati akifungua maonesho ya siku tatu ya kilimo…

Read More

Manufaa ya kilimo mseto yaelezwa

” Kilimo mseto kwa usalama wa chakula na kipato” Musoma, 19:11:2020 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya amehamasisha wakulima na wafugaji nchini kutumia kilimo mseto ili kuongeza uhakika wa chakula na kipato. Alsema hayo akifungua Maonesho ya Kilimo Mseto yanayofanyika mjini Musoma kwa kuwashirikisha wakulima, wafugaji na wavuvi chini ya uratibu wa shirika la Vi Agroforestry pamoja…

Read More