November 30, 2020
by Africa Kilimo
The African nation of Tanzania is currently exporting horticulture produce valued at more than US$780 million. However, the industry’s potential is estimated to be more than US $2 billion. The money might be flowing in as new markets are opened up abroad. Dr Jacquiline Mkindi, the Chief Executive Director for TAHA, said: “Our flagship horticultural […]
November 23, 2020
by Editor
Mwanza, 23:11:2020 Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kurejesha mali za vyama vikuu vya ushirika Nyanza, Geita na Simiyu zenye thamani ya Shilingi Bilioni 61 zilizokuwa zikimilikiwa kinyume cha utaratibu. Akikabidhi hati 37 kwa wenyeviti wa vyama vya Nyanza (NCU),Geita (GCU) na Simiyu (SIMCU) leo (23.11.2020) jijini Mwanza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya […]
November 19, 2020
by Editor
Musoma,19:11:2020 Serikali imezitaka taasisi na mashirika binafsi yanayopokea fedha toka kwa wahisani na wafadhili ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kilimo kuhakikisha kwamba wanazitumia katika miradi hiyo ili kukuza sekta ya kilimo na kuwawezesha wakulima kupata kipato. Kauli hiyo ya serikali imetolewa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya wakati akifungua maonesho ya […]
November 19, 2020
by Editor
” Kilimo mseto kwa usalama wa chakula na kipato” Musoma, 19:11:2020 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya amehamasisha wakulima na wafugaji nchini kutumia kilimo mseto ili kuongeza uhakika wa chakula na kipato. Alsema hayo akifungua Maonesho ya Kilimo Mseto yanayofanyika mjini Musoma kwa kuwashirikisha wakulima, wafugaji na wavuvi chini ya uratibu wa shirika […]