Uzalishaji mkubwa wa mihogo uliondoa tatizo la upatikanaji wa futari wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
Tanzania MWENYEKITI wa Chama Cha Wadau wa Zao la Muhogo (TACAPPA) Mwantumu Mahiza, amesema uzalishaji mkubwa wa mihogo uliondoa tatizo la upatikanaji wa futari…