Tanzania: Maofisa ugani watakiwa kutoa elimu ya kilimo bora kwa kaya maskini
Singida: 13.01.2021 Maafisa Ugani wametakiwa kutoa elimu ya kilimo bora cha mazao ya biashara kwa kaya zote maskini nchini zinazonufaika na ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini. Imeelezwa kuwa elimu hiyo itasaidia kaya hizo ziweze kupata mavuno bora yatakayoziwezesha kuboresha maisha yao na kuondokana na umaskini. Hayo yamesemwa na Naibu…








