Improving the livelihood of small-scale farmers
Taking a New Look at Africa's Agriculture; Develoepmental Communication

Wakulima Pemba wapongezwa kuongeza tija kilimo cha umwagiliaji

Pemba 20.08.2020 Wakulima wa Pemba wameanza kunufaika na miradi ya kilimo inayotekelezwa kwa pamoja na serikali ya Muungano na ya Mapinduzi ya Zanzibar ya uendelezaji zao la mpunga (ERPP) na mradi wa Kudhibiti Sumukuvu nchini (TANIPAC). Mradi wa Kuimarisha Uzalishaji Mpunga nchini (ERPP) umetumia shilingi Bilioni mbili  kujenga na kukarabati miundombinu ya skimu za umwagiliaji upande wa Pemba kwa…

Read More

Watakiwa kuzalisha mbolea bora yenye bei nafuu

Babati 28.08.2020 Serikali imeviagiza viwanda vya mbolea nchini kuzalisha mbolea yenye viwango vya juu vya ubora na kuiuza kwa wakulima kwa gharama nafuu ili uzalishaji wa mazao uwe na tija na kuchangia ukuaji wa uchumi wa kaya na taifa. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya alitoa agizo hilo leo mkoani Manyara alipotembelea kukagua kiwanda cha mbolea cha Minjingu….

Read More

Mama Seki: nimeigia mikataba na wakulima wadogowadogo kuniuzia mahindi, Ruvuma na Iringa

Na Mwandishi wetu BARAKA kubwa katika kazi za mikono hutegemea zaidi namna unavyofanya menejimenti ya program unayoifanya na mkazo unaotilia ili uweze kutoboza. Hata kama utaletewa mafunzo ya namna gani kama usipotia nia na kuweka mpango wako katika utekelezaji huwezi kufanikiwa. Hayo ni sehemu tu ya baadhi ya maneno ambayo yamezungumwa katika mahojiano na msagishaji wa mahindi na kuzalisha…

Read More

Vyakula vyawasilishwa kusaidia wanafunzi kusoma kikambi

NACHINGWEA: 22:7:2019 MKUU wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amewataka wadau wa elimu mkoani humo kusaidia mahitaji ya kambi za ‘mada tata’ kusaidia juhudi za serikali kuinua elimu katika mkoa huo. Kauli hiyo imetolewa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango wakati akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya kambi 74 za madada katika…

Read More

Sintofahamu uzalishaji wa mpunga kapunga yamalizwa

MBARALI 8.7.2018  JANUARI mwaka huu Mwekezaji  katika lilkilokuwa shamba la Shirika la kilimo na chakula nchini (NAFCO) kampuni ya kilimo cha mpunga cha Kapunga, aliridhia hekta 1,870 za ardhi zirejeshwe kwenye himaya ya kijiji cha kapunga. Kurejeshwa kwa ardhi hiyo kulikotangazwa rasmi kwa wananchi kupitia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kumeanzisha upya mahusiano ya…

Read More