Kilimo Kwanza
African Agriculture and Food Systems
African Agriculture and Food Systems
DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda…
DODOMA: 22.1.2021 SERIKALI imesema ina mpango wa kuongeza nguvu uzalishaji wa zao la alizeti kwa lengo la kuhakikisha kuna mafuta ya kutosha ya kula…
KAHAMA: 21.1.2021 WASINDIKAJI wa mchele wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE *Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche WAZIRI MKUU…
KOROGWE: 20.1.2021 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha…
MUHEZA: 20.01.2021 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote zinazolima zao la mkonge kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche bora ya mkonge na kuigawa kwa…
MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni…
MBARALI 8.7.2018 MATUMIZI ya teknolojia za kisasa kumewezesha uzalishaji katika mradi wa Kapunga kuongezeka na kufikia wastani wa asilimia 6.5 ya uzalishaji kwa hekta…
NACHINGWEA 18.1.2021 BAADA ya minada 23 mkoa wa Lindi umefunga rasmi msimu wa korosho 2020 na kuanza kujiandaa na msimu wa ufuta. Msimu huo…
IFAKARA 15.01.2021 Wizara ya Kilimo kupitia mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (ERPP) imefanikiwa kukamilisha miradi kumi na moja iliyopo…
Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage…
LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665 za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha…
Dodoma Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo…
Na Mwandishi Wetu, Mvomero 11.12.2020 Shirika la Bima la Taifa limewalipa wakulima watano wa Mvomero jumla ya shilingi milioni 23 ikiwa ni fidia ya…
Kusaya aona ajira yenye tija kwa vijana ni kilimo Rufiji Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya aliwahamasisha Vijana waliopata mafunzo ya kilimo na…
To transform the agriculture sector in its totality – crop farming, animal husbandry, aquaculture and fisheries from subsistence to commercial- manufacturing and food industry,…
Songwe The Tanzanian Ministry of Agriculture has announced its plans to construct infrastructure for the Nguvukazi Mwanavala irrigation scheme in the Imalilo Songwe area,…
Songwe Wizara ya Kilimo imesema itajenga miundombinu ya skimu ya umwagiliaji ya Nguvukazi Mwanavala katika kata ya Imalilo Songwe wilaya ya Mbarali yenye eneo…
Njombe Serikali ya awamu ya tano imetumia shilingi Bilioni 56 kujenga vihenge vya kisasa na maghala ili kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kufikia tani…
*with research science-based precision agriculture for increased crop productivity Research activities will continue to play a key role in agricultural transformation into science-based precision…
Morogoro Watumishi wa Wizara ya Kilimo wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ili kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.…
Pemba 20.08.2020 Wakulima wa Pemba wameanza kunufaika na miradi ya kilimo inayotekelezwa kwa pamoja na serikali ya Muungano na ya Mapinduzi ya Zanzibar ya…
Babati 28.08.2020 Serikali imeviagiza viwanda vya mbolea nchini kuzalisha mbolea yenye viwango vya juu vya ubora na kuiuza kwa wakulima kwa gharama nafuu ili…