Search Agricultural Insights

Menu

Bil 130/- za korosho zaingia katika mzunguko Lindi

NACHINGWEA 18.1.2021 BAADA ya minada 23  mkoa wa Lindi umefunga rasmi msimu wa korosho 2020 na kuanza kujiandaa na msimu wa ufuta. Msimu huo umemalizika baada ya kufanyika kwa mnada…

MIRADI 11 YA ERPP MOROGORO YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 97

IFAKARA 15.01.2021 Wizara ya Kilimo kupitia mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (ERPP) imefanikiwa kukamilisha miradi kumi na moja iliyopo mkoani Morogoro na itakabidhiwa kwa wakulima…

Mhandisi wa Umwagiliaji mkoa wa Tabora matatani

TABORA: 14.01.2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpangia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Tabora baada ya kushindwa kusimamia skimu ya Umwagiliaji…

Kilimo kupitia upya Sheria ya Ushirika

Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika  na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika itakayoendana na mazingira ya sasa….

Tanzania: Uchakataji korosho utakavyoleta neema kwa taifa

“Wakati umefika kwa watanzania kujifunza na kuzalisha kwa kasi  korosho ghafi si kwa kwenda kuziuza zilivyo bali kuzichakata ili kupata mahitaji mbalimbali ambayo yatasaidia bei ya korosho na mazao mengine…

10 Powerful Agriculture Quotes From Dr Agnes Kalibata

Dr Agnes Kalibata is a champion for empowerment of smallholder households (agriculture) in Africa. She works in the “road” to get the African small farmer out of the vicious circle…