August 28, 2020
by Kilimokwanza
Pemba 20.08.2020 Wakulima wa Pemba wameanza kunufaika na miradi ya kilimo inayotekelezwa kwa pamoja na serikali ya Muungano na ya Mapinduzi ya Zanzibar ya uendelezaji zao la mpunga (ERPP) na mradi wa Kudhibiti Sumukuvu nchini (TANIPAC). Mradi wa Kuimarisha Uzalishaji Mpunga nchini (ERPP) umetumia shilingi Bilioni mbili kujenga na kukarabati miundombinu ya skimu za umwagiliaji […]
August 28, 2020
by Kilimokwanza
Babati 28.08.2020 Serikali imeviagiza viwanda vya mbolea nchini kuzalisha mbolea yenye viwango vya juu vya ubora na kuiuza kwa wakulima kwa gharama nafuu ili uzalishaji wa mazao uwe na tija na kuchangia ukuaji wa uchumi wa kaya na taifa. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya alitoa agizo hilo leo mkoani Manyara alipotembelea kukagua kiwanda […]
December 17, 2019
by Kilimokwanza
Na Mwandishi wetu BARAKA kubwa katika kazi za mikono hutegemea zaidi namna unavyofanya menejimenti ya program unayoifanya na mkazo unaotilia ili uweze kutoboza. Hata kama utaletewa mafunzo ya namna gani kama usipotia nia na kuweka mpango wako katika utekelezaji huwezi kufanikiwa. Hayo ni sehemu tu ya baadhi ya maneno ambayo yamezungumwa katika mahojiano na msagishaji […]
July 22, 2018
by Kilimokwanza
NACHINGWEA: 22:7:2019 MKUU wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amewataka wadau wa elimu mkoani humo kusaidia mahitaji ya kambi za ‘mada tata’ kusaidia juhudi za serikali kuinua elimu katika mkoa huo. Kauli hiyo imetolewa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango wakati akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya kambi […]
January 8, 2018
by Kilimokwanza
MBARALI 8.7.2018 JANUARI mwaka huu Mwekezaji katika lilkilokuwa shamba la Shirika la kilimo na chakula nchini (NAFCO) kampuni ya kilimo cha mpunga cha Kapunga, aliridhia hekta 1,870 za ardhi zirejeshwe kwenye himaya ya kijiji cha kapunga. Kurejeshwa kwa ardhi hiyo kulikotangazwa rasmi kwa wananchi kupitia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi […]