Kilimo kupitia upya Sheria ya Ushirika

Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika  na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika...