Wakulima Pemba wapongezwa kuongeza tija kilimo cha umwagiliaji
Pemba 20.08.2020 Wakulima wa Pemba wameanza kunufaika na miradi ya kilimo inayotekelezwa kwa pamoja na serikali ya Muungano na ya Mapinduzi ya Zanzibar ya uendelezaji...
Watakiwa kuzalisha mbolea bora yenye bei nafuu
Babati 28.08.2020 Serikali imeviagiza viwanda vya mbolea nchini kuzalisha mbolea yenye viwango vya juu vya ubora na kuiuza kwa wakulima kwa gharama nafuu ili uzalishaji...
Mama Seki: nimeigia mikataba na wakulima wadogowadogo kuniuzia mahindi, Ruvuma na Iringa
Na Mwandishi wetu BARAKA kubwa katika kazi za mikono hutegemea zaidi namna unavyofanya menejimenti ya program unayoifanya na mkazo unaotilia ili uweze kutoboza. Hata kama...
Vyakula vyawasilishwa kusaidia wanafunzi kusoma kikambi
NACHINGWEA: 22:7:2019 MKUU wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amewataka wadau wa elimu mkoani humo kusaidia mahitaji ya kambi za ‘mada tata’ kusaidia juhudi za...
Sintofahamu uzalishaji wa mpunga kapunga yamalizwa
MBARALI 8.7.2018 JANUARI mwaka huu Mwekezaji katika lilkilokuwa shamba la Shirika la kilimo na chakula nchini (NAFCO) kampuni ya kilimo cha mpunga cha Kapunga, aliridhia...