Serikali ya tanzania yaahidi nguvu zaidi uzalishaji alizeti
DODOMA: 22.1.2021 SERIKALI imesema ina mpango wa kuongeza nguvu uzalishaji wa zao la alizeti kwa lengo la kuhakikisha kuna mafuta ya kutosha ya kula yanayozalishwa...
Wasindika mchele na soko la Afrika mashariki
KAHAMA: 21.1.2021 WASINDIKAJI wa mchele wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta...
Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE *Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche WAZIRI MKUU Kassim...
Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche
KOROGWE: 20.1.2021 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu...
Majaliwa ataka halmashauri zianzishe vitalu vya mbegu za mkonge
MUHEZA: 20.01.2021 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote zinazolima zao la mkonge kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche bora ya mkonge na kuigawa kwa wakulima...
Tani 36,298 za katani zazalishwa 2020
MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni kuzalisha...
Uzalishaji kapunga wapanda ,aksante kwa teknolojia mpya
MBARALI 8.7.2018 MATUMIZI ya teknolojia za kisasa kumewezesha uzalishaji katika mradi wa Kapunga kuongezeka na kufikia wastani wa asilimia 6.5 ya uzalishaji kwa hekta moja....
Bil 130/- za korosho zaingia katika mzunguko Lindi
NACHINGWEA 18.1.2021 BAADA ya minada 23 mkoa wa Lindi umefunga rasmi msimu wa korosho 2020 na kuanza kujiandaa na msimu wa ufuta. Msimu huo umemalizika...
MIRADI 11 YA ERPP MOROGORO YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 97
IFAKARA 15.01.2021 Wizara ya Kilimo kupitia mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (ERPP) imefanikiwa kukamilisha miradi kumi na moja iliyopo mkoani...
Mhandisi wa Umwagiliaji mkoa wa Tabora matatani
TABORA: 14.01.2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpangia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Tabora baada ya...