Kituo cha huduma kwa wateja kwa wakulima chazinduliwa
WAZIRI wa kilimo Hussein Bashe amezindua kituo cha huduma kwa wateja ambapo wakulima watapata nafasi ya kupiga simu bure Ili kupata taarifa na kuuliza maswali...
Best prospect for Tanzania in agriculture as business
Overview Agriculture in Tanzania represents almost 30 percent of the country’s GDP with three quarter of the country’s workforce involved in this sector. Agriculture is...
Tanzania inaendelea na udhibiti wa ndege waharibifu aina ya kwelea kwelea waliovamia mashamba katika wilaya 22 zilizopo kwenye mikoa 12 nchini
DODOMA:13.5.2021 SERIKALI imesema inaendelea na udhibiti wa ndege waharibifu aina ya kwelea kwelea waliovamia mashamba katika wilaya 22 zilizopo kwenye mikoa 12 nchini. Kazi ya...
Uzalishaji mkubwa wa mihogo uliondoa tatizo la upatikanaji wa futari wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
Tanzania MWENYEKITI wa Chama Cha Wadau wa Zao la Muhogo (TACAPPA) Mwantumu Mahiza, amesema uzalishaji mkubwa wa mihogo uliondoa tatizo la upatikanaji wa futari wakati...
TANZANIA: VIJANA 2,563 WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO HAI DODOMA
Vijana wanaojishugulisha na kilimo hai kwenye wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma wameiomba serikali iwasaidie kupata uhakika wa masoko ya mazao yao ikiwemo alizeti, mahindi,...
SERIKALI YA TANZANIA KUTUMIA ZAIDI YA SH MILIONI 100 KUIMARISHA KITUO CHA KUTOTOLEA VIFARANGA VYA SAMAKI
SONGEA: Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dk Rashid Tamatamah amesema kuwa Serikali imepanga kutumia Shilingi Milioni 110 kwa ajili ya kuimarisha miundo...
AASISI ZA FEDHA ZAAHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO
DODOMA: Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa...
Kampeni ya “ondoa mapori ongeza uzalishaji” yapamba moto Mtwara
Na Mwandishi Maalumu, Mtwara TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele Mtwara, imetoa mafunzo ya namna ya kubebesha vikonyo vya mikorosho katika mikorosho iliyozeeka...
SERIKALI YA TANZANIA YAINGIA MAKUBALIANO NA WAFANYABIASHARA KUPIGA JEKI KILIMO CHA NGANO
DODOMA: 23.01.2021 Serikali imeingia makubaliano na wafanyabiashara ya zao la ngano kuwa wale wote waliokuwa wakiagiza ngano nje ya nchi sasa watanunua asilimia 60 ya...
Homa ya nguruwe yapiga Kanda ya Ziwa
DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda ya...