July 7, 2022
by Kilimo Tanzania
WAZIRI wa kilimo Hussein Bashe amezindua kituo cha huduma kwa wateja ambapo wakulima watapata nafasi ya kupiga simu bure Ili kupata taarifa na kuuliza maswali yanayohusiana na kilimo lengo likiwa ni kuwafikia wakulima popote walipo Nchini. Sifa Lubasi “Mkulima yoyote popote alipo Tanzania atapiga simu atauliza maswali ,atasikilizwa na kupata majibu,” alisema. Alisema hayo jana […]
June 22, 2022
by Editor
Overview Agriculture in Tanzania represents almost 30 percent of the country’s GDP with three quarter of the country’s workforce involved in this sector. Agriculture is undoubtedly the largest and most important sector of the Tanzanian economy, with the country benefitting from a diverse production base that includes livestock, staple food crops and a variety of […]
May 18, 2021
by Kilimo Tanzania
DODOMA:13.5.2021 SERIKALI imesema inaendelea na udhibiti wa ndege waharibifu aina ya kwelea kwelea waliovamia mashamba katika wilaya 22 zilizopo kwenye mikoa 12 nchini. Kazi ya kudhibiti ilianza Novemba 17 , 2020 na bado inaendelea. Aidha imesema kwamba kazi ya kudhibiti ndege hao inaendelea pia katika maeneo mapya yaliyoripotiwa katika Mkoa wa Tabora na Simiyu na […]
May 18, 2021
by Kilimo Tanzania
Tanzania MWENYEKITI wa Chama Cha Wadau wa Zao la Muhogo (TACAPPA) Mwantumu Mahiza, amesema uzalishaji mkubwa wa mihogo uliondoa tatizo la upatikanaji wa futari wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Alisema miaka ya nyuma upatikanaji wa mihogo kwenye masoko haukuwa mkubwa kama ilivyo sasa ambazo mihogo imekuwa mingi na hata bei yake ni […]
May 4, 2021
by Kilimokwanza
Vijana wanaojishugulisha na kilimo hai kwenye wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma wameiomba serikali iwasaidie kupata uhakika wa masoko ya mazao yao ikiwemo alizeti, mahindi, kunde, ufuta na mazao ya mboga mboga. Wamaetoa ombi hilo jana Jumamosi (01.05.2021) wakati wataalam wa Wizara ya Kilimo wanaofanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa Mkakati wa Taifa Vijana kushiriki kwenye […]
February 6, 2021
by Kilimokwanza
SONGEA: Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dk Rashid Tamatamah amesema kuwa Serikali imepanga kutumia Shilingi Milioni 110 kwa ajili ya kuimarisha miundo mbinu ya Kituo cha Kutotolesha Vifaranga vya Samaki cha Ruhila ili kiweze kuzalisha vifaranga vitakavyokidhi mahitaji yaliyopo sasa. Dkt. Tamatamah aliyasema hayo leo alipotembelea kukagua shughuli zinazofanywa na kituo hicho […]
February 6, 2021
by Kilimokwanza
DODOMA: Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa thamani wa zao la Samaki huku wakiahidi kutoa mtaji ili kuliimarisha shirika hilo. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine alipokuwa akizungumza na waandishi […]
February 5, 2021
by Kilimokwanza
Na Mwandishi Maalumu, Mtwara TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele Mtwara, imetoa mafunzo ya namna ya kubebesha vikonyo vya mikorosho katika mikorosho iliyozeeka kwa wakulima wa kata ya Madimba mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni ya “ondoa mapori ongeza uzalishaji” yenye lengo la kuongeza uzalishaji na tija kwa zao la […]
January 24, 2021
by Kilimokwanza
DODOMA: 23.01.2021 Serikali imeingia makubaliano na wafanyabiashara ya zao la ngano kuwa wale wote waliokuwa wakiagiza ngano nje ya nchi sasa watanunua asilimia 60 ya ngano hiyo hapa nchini ili kukuza soko la wakulima na kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa bidhaa hiyo. Makubaliano hayo yameingiwa leo Jijini Dodoma kati ya Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda […]
January 23, 2021
by Kilimokwanza
DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda ya Ziwa hivi karibuni unadhibitiwa. Aidha alisema tangu ugonjwa huo uanze mpaka sasa umeshasababisha vifo vya nguruwe 1,500 wenye thamani ya shilingi milioni 375. Ndaki aliyasema hayo leo jijini Dodoma alipokuwa […]