Search Agricultural Insights

Menu

AGRA’s Women Agripreneurs Top 15 , shortlisted from 1478 applicants from 38 African countries

The selected Top applicants are from nine African countries: Benin, Gambia, Ghana, Kenya, Malawi, Nigeria, South Africa, Uganda, and Zimbabwe. The applicants were selected from a total of 1478 applicants from 38 African countries.   The Women Agripreneurs of the Year Awards (WAYA)has announced the 2022 edition’s Top 15 applicants.  The outstanding women agripreneurs were selected by […]

Kituo cha huduma kwa wateja kwa wakulima chazinduliwa

WAZIRI wa kilimo Hussein Bashe amezindua kituo cha huduma kwa wateja ambapo wakulima watapata nafasi ya kupiga simu  bure Ili kupata taarifa na kuuliza maswali yanayohusiana na kilimo lengo likiwa ni kuwafikia wakulima popote walipo Nchini. Sifa Lubasi “Mkulima yoyote popote alipo Tanzania atapiga simu atauliza maswali ,atasikilizwa na kupata majibu,” alisema. Alisema hayo jana […]

TURN TO SUNFLOWER FARMING FOR FAST RETURNS, SAYS PRIME MINISTER MAJALIWA TO FARMERS

The Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Hon. Kassim Majaliwa Majaliwa, on the afternoon of June 13, 2021, urged sunflower farmers in the sunflower-growing regions to focus on farming this crop as they can reap significant profits in a short period due to high local and international demand. Prime Minister Kassim Majaliwa Majaliwa […]

Tanzania inaendelea na udhibiti wa ndege waharibifu aina ya kwelea kwelea waliovamia mashamba katika wilaya 22 zilizopo kwenye mikoa 12 nchini

DODOMA:13.5.2021 SERIKALI imesema inaendelea na udhibiti wa ndege waharibifu aina ya kwelea kwelea waliovamia mashamba katika wilaya 22 zilizopo kwenye mikoa 12 nchini. Kazi ya kudhibiti ilianza Novemba 17 , 2020 na bado inaendelea. Aidha imesema kwamba kazi ya kudhibiti ndege hao inaendelea pia katika maeneo mapya yaliyoripotiwa katika Mkoa wa Tabora na Simiyu na […]

Uzalishaji mkubwa wa mihogo uliondoa tatizo la upatikanaji wa futari wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani

Tanzania MWENYEKITI wa Chama Cha Wadau wa Zao la Muhogo (TACAPPA) Mwantumu Mahiza, amesema uzalishaji mkubwa wa mihogo uliondoa tatizo la upatikanaji wa futari wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Alisema miaka ya nyuma upatikanaji wa mihogo kwenye masoko haukuwa mkubwa kama ilivyo sasa ambazo mihogo imekuwa mingi na hata bei yake ni […]

Tanzania: Unlocking sustainable growth through improved fertilizer policies

In June 2006, the AU member states adopted the “Abuja Declaration on Fertilizer for the African Green Revolution” and resolved to increase fertilizer consumption rates across the continent from 8 kilograms per hectare to 50 kilograms per hectare by 2015, a target whose deadline has been surpassed. In Tanzania, fertilizer usage stands at 13.68 kg/ha […]

How co-ops help Tanzania farmers feed Kenya

By Isaiah Esipisu | Nation Media Group King’ori is a quiet village in Arumeru District in Arusha, Tanzania. It is in this region, East Africa’s diplomatic hub, that one finds Uremi Agricultural Marketing Co-operative Society (Amcos). The Seeds of Gold team finds its members gathered at a social hall to discuss an important and urgent […]

Mhandisi wa Umwagiliaji mkoa wa Tabora matatani

TABORA: 14.01.2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpangia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Tabora baada ya kushindwa kusimamia skimu ya Umwagiliaji Inala na maeneo mengine mkoani humo. Hatua hiyo inatokana na udhaifu uliojitokeza katika Skimu Inala , Manispaa ya Tabora ya wakulima kulima ekari 15 badala […]

Tanzania: Maofisa ugani watakiwa kutoa elimu ya kilimo bora kwa kaya maskini

Singida: 13.01.2021 Maafisa Ugani wametakiwa kutoa elimu ya kilimo bora cha mazao ya biashara  kwa kaya zote maskini nchini zinazonufaika na ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini.  Imeelezwa kuwa elimu hiyo itasaidia kaya hizo ziweze kupata mavuno bora yatakayoziwezesha kuboresha maisha yao na kuondokana na umaskini. […]

Tanzania: Walima choroko watakiwa kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani

Shinyanga: 11.1.2021 MAOFISA kilimo mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi ghalani kwa wakulima wa zao la choroko ili waache tabia ya kuuza mazao yakiwa bado shambani . Imeelezwa kitendo cha kuuza mazao hayo yakiwa shambani kunanufaisgha walanguzi wakati wao wanabaki maskini. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi Zainab […]

Kilimokwanza Assistant ×
Hello! I can help you find information. What would you like to know?
Kilimokwanza Assistant
Hello! How can I help you learn about Kilimokwanza today?