Tafuta Maarifa ya Kilimo

Menu

Kusaya aona ajira yenye tija kwa vijana ni kilimo

Kusaya aona ajira yenye tija kwa vijana ni kilimo Rufiji Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya aliwahamasisha Vijana waliopata mafunzo ya kilimo na ufugaji wa kuku wa nyama na mayai kufikiria kujiajiri kwa kuanzia na mitaji midogo. Katibu mkuu huyo alisema hayo wakati akifunga mafunzo ya kilimo na ufugaji kwa vitendo kwa Vijana 48 […]

Agriculture transformation key to developed manufacturing, food sectors

To transform the agriculture sector in its totality – crop farming, animal husbandry, aquaculture and fisheries from subsistence to commercial- manufacturing and food industry, must become well developed. For this to happen and be scaled up, agriculture mechanisation and adoption of other science and technology models is the way. This has been apparent for years. […]

Tanzanian Ministry of Agriculture Announces Major Irrigation Scheme Development in Mbarali

Songwe The Tanzanian Ministry of Agriculture has announced its plans to construct infrastructure for the Nguvukazi Mwanavala irrigation scheme in the Imalilo Songwe area, Mbarali district. This significant development, covering an estimated 6,500 hectares, is poised to enhance agricultural productivity in the region. This ambitious project will commence following the implementation of directives from President […]

Serikali kujenga skimu ya umwagiliaji Nguvukazi mwanavala

Songwe Wizara ya Kilimo imesema itajenga miundombinu ya skimu ya umwagiliaji ya Nguvukazi Mwanavala katika kata ya Imalilo Songwe wilaya ya Mbarali yenye eneo linalokadiriwa kuwa hekta 6,500. Aidha shughuli hiyo itafanyika baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa maagizo ya Rais kupitia kamati ya mawaziri. Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya […]

Bil 56/- zatumika kujenga vihenge vya kisasa

Njombe Serikali ya awamu ya tano imetumia shilingi Bilioni 56 kujenga vihenge vya kisasa na maghala ili kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kufikia tani 501,000 mwaka 2020 toka tani 250,000 mwaka 2015. Mafanikio hayo ya serikali yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba  wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani kitaifa mkoani Njombe. […]

Research key to agricultural transformation in Tanzania- Dr Joseph Ndunguru

*with research science-based precision agriculture for increased crop productivity Research activities will continue to play a key role in agricultural transformation into science-based precision agriculture for increased crop productivity, in the drive to ensure the sustainable supply of raw material for growing Tanzania’s industrial economy, according to the Director of Tanzania Agricultural Research Institute (TARI) […]

Katibu Mkuu ataka weledi na uadilifu watumishi Kilimo

Morogoro Watumishi wa Wizara ya Kilimo wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ili kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi. Wito huo umetolewa leo mjini Morogoro na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya wakati alipofungua mafunzo ya siku nne kwa wakuu wa taasisi, bodi na wakala chini ya wizara kuhusu […]

Wakulima Pemba wapongezwa kuongeza tija kilimo cha umwagiliaji

Pemba 20.08.2020 Wakulima wa Pemba wameanza kunufaika na miradi ya kilimo inayotekelezwa kwa pamoja na serikali ya Muungano na ya Mapinduzi ya Zanzibar ya uendelezaji zao la mpunga (ERPP) na mradi wa Kudhibiti Sumukuvu nchini (TANIPAC). Mradi wa Kuimarisha Uzalishaji Mpunga nchini (ERPP) umetumia shilingi Bilioni mbili  kujenga na kukarabati miundombinu ya skimu za umwagiliaji […]

Watakiwa kuzalisha mbolea bora yenye bei nafuu

Babati 28.08.2020 Serikali imeviagiza viwanda vya mbolea nchini kuzalisha mbolea yenye viwango vya juu vya ubora na kuiuza kwa wakulima kwa gharama nafuu ili uzalishaji wa mazao uwe na tija na kuchangia ukuaji wa uchumi wa kaya na taifa. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya alitoa agizo hilo leo mkoani Manyara alipotembelea kukagua kiwanda […]

Prof. Siza Tumbo commends AGRA for supporting Tanzania agricultural development roadmap (ASDP II)

DPS-MoA Field Mission to SUKA Consortium 19TH TO 24TH JULY 2020   Tanzania after attaining food self-sufficiency for over a decade is in the race to increase production, develop markets, and multiple agriculture-based industries in the road to fully make agriculture one of the most viable business sectors for pushing up the country to upper-middle-income […]

Kilimokwanza Assistant ×
Hello! I can help you find information. What would you like to know?
Kilimokwanza Assistant
Hello! How can I help you learn about Kilimokwanza today?