African Agriculture and Food Systems
Author: Kilimokwanza
TANZANIA: VIJANA 2,563 WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO HAI DODOMA
Vijana wanaojishugulisha na kilimo hai kwenye wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma wameiomba serikali iwasaidie kupata uhakika wa masoko ya mazao yao ikiwemo alizeti,…
AGRA Re-affirms Support to Malawi in Achieving an Inclusive Agricultural Transformation
LILONGWE, April 03, 2021: – The Chairman of the Board of Directors of the Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA), H.E. Hailemariam Dessalegn,…
PAFO and AGRA sign a memorandum of understanding to support smallholder farmers
Kigali, 14 April 2021: The Pan-African Farmers Organization (PAFO) and the Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA) have signed a cooperation and partnership…
Farming-Specific Loans Help Tanzania’s Smallholders Increase Productivity
Halima Elias Mtwethe from Mtepa Village in southern Tanzania is one of the smallholder farmers who borrowed from the Mahanje Savings and Credit Co-operative…
SERIKALI YA TANZANIA KUTUMIA ZAIDI YA SH MILIONI 100 KUIMARISHA KITUO CHA KUTOTOLEA VIFARANGA VYA SAMAKI
SONGEA: Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dk Rashid Tamatamah amesema kuwa Serikali imepanga kutumia Shilingi Milioni 110 kwa ajili ya kuimarisha…
AASISI ZA FEDHA ZAAHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO
DODOMA: Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo…
Kampeni ya “ondoa mapori ongeza uzalishaji” yapamba moto Mtwara
Na Mwandishi Maalumu, Mtwara TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele Mtwara, imetoa mafunzo ya namna ya kubebesha vikonyo vya mikorosho katika mikorosho…
Tanzania: Major Inputs Stimulus to Boost Small Scale Farmers
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) By Yasinta Amos in Arusha More than 100,600 smallholder farmers in Tanzania will be receiving grain and vegetable seeds’ grants…
Dr. Agnes Kalibata-Hungry for change:
An open letter to African governments In 2020, the entire world knew what it was to be hungry. Millions of people went without enough to…
SERIKALI YA TANZANIA YAINGIA MAKUBALIANO NA WAFANYABIASHARA KUPIGA JEKI KILIMO CHA NGANO
DODOMA: 23.01.2021 Serikali imeingia makubaliano na wafanyabiashara ya zao la ngano kuwa wale wote waliokuwa wakiagiza ngano nje ya nchi sasa watanunua asilimia 60…
Homa ya nguruwe yapiga Kanda ya Ziwa
DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda…
Serikali ya tanzania yaahidi nguvu zaidi uzalishaji alizeti
DODOMA: 22.1.2021 SERIKALI imesema ina mpango wa kuongeza nguvu uzalishaji wa zao la alizeti kwa lengo la kuhakikisha kuna mafuta ya kutosha ya kula…
Wasindika mchele na soko la Afrika mashariki
KAHAMA: 21.1.2021 WASINDIKAJI wa mchele wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na…
Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE *Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche WAZIRI MKUU…
Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche
KOROGWE: 20.1.2021 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha…
Majaliwa ataka halmashauri zianzishe vitalu vya mbegu za mkonge
MUHEZA: 20.01.2021 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote zinazolima zao la mkonge kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche bora ya mkonge na kuigawa kwa…
Tani 36,298 za katani zazalishwa 2020
MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni…
Uzalishaji kapunga wapanda ,aksante kwa teknolojia mpya
MBARALI 8.7.2018 MATUMIZI ya teknolojia za kisasa kumewezesha uzalishaji katika mradi wa Kapunga kuongezeka na kufikia wastani wa asilimia 6.5 ya uzalishaji kwa hekta…
Bil 130/- za korosho zaingia katika mzunguko Lindi
NACHINGWEA 18.1.2021 BAADA ya minada 23 mkoa wa Lindi umefunga rasmi msimu wa korosho 2020 na kuanza kujiandaa na msimu wa ufuta. Msimu huo…
MIRADI 11 YA ERPP MOROGORO YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 97
IFAKARA 15.01.2021 Wizara ya Kilimo kupitia mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (ERPP) imefanikiwa kukamilisha miradi kumi na moja iliyopo…
Jinsi Tari Naliendele inavyoanzisha kilimo cha maharage Kusini ya Tanzania
Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage…
Runali wauza kilo milioni 1.7 za korosho mnada wa 11
LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665 za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha…