Mhandisi wa Umwagiliaji mkoa wa Tabora matatani
TABORA: 14.01.2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpangia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Tabora baada ya kushindwa kusimamia skimu…
African Agriculture and Food Systems
TABORA: 14.01.2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpangia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Tabora baada ya kushindwa kusimamia skimu…
Singida: 13.01.2021 Maafisa Ugani wametakiwa kutoa elimu ya kilimo bora cha mazao ya biashara kwa kaya zote maskini nchini zinazonufaika na ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya…
Shinyanga: 11.1.2021 MAOFISA kilimo mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi ghalani kwa wakulima wa zao la choroko ili waache tabia ya kuuza mazao yakiwa bado…
Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika itakayoendana na mazingira…
Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage ni zao maarufu zaidi…
“Wakati umefika kwa watanzania kujifunza na kuzalisha kwa kasi korosho ghafi si kwa kwenda kuziuza zilivyo bali kuzichakata ili kupata mahitaji mbalimbali ambayo yatasaidia bei ya korosho na…
Dr Agnes Kalibata is a champion for empowerment of smallholder households (agriculture) in Africa. She works in the “road” to get the African small farmer out of the…
LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665 za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale…
BABATI 21:12:2020, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amekemea uvuvi usiozingatia sheria na taratibu na kwamba serikali imejipanga kukomesha tabia hiyo ili raslimali zilizopo ziwe endelevu…
LINDI: 22:12:2020 Msajiri wa vyama vya Ushirika Lindi, Edmund Massawe ameonya viongozi wa vyama vya ushirika waliosababisha hasara katika vyama vyao kutothubutu kuchukua fomu za kuwania uongozi. Akizungumza…
By Edwin Githinji E-mail: eddy.githinji022@gmail.com 23/11/2020 Kenya recognizes the urgent need for the protection of water sources, resources and the implementation of alternative production of aquatic proteins. Kenya’s…
DODOMA, 21:12;2020 WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo. Waziri wa Kilimo…
Agriculture CS Hon Peter Munya has concluded a three-day public participation meeting on Coffee Bill 2020 at Nyamathumbi Primary School, Gatundu North Constituency in Kiambu County. He was…
Dodoma Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazao mengi zaidi…
Mbeya, 6:12:2020 VIONGOZI wa vijiji,mitaa na vitongoji wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameagizwa kusimamia uuzaji mbolea wenye kuzingatia bei elekezi iliyowekwa na Serikali ili kuepusha wakulima kuibiwa na wauzaji…
Na Mwandishi Wetu, Mvomero 11.12.2020 Shirika la Bima la Taifa limewalipa wakulima watano wa Mvomero jumla ya shilingi milioni 23 ikiwa ni fidia ya mazao yao kuharibiwa na…
This piece was originally published on the World Bank’s website. WASHINGTON – The World Bank Board of Directors today approved a $60 million International Development Association (IDA)* grant to…
WAGENINGEN, THE NETHERLANDS – We must combine social and technological innovation to make the world’s agri-food systems healthy, equitable, resilient and sustainable, according to a new Expert Panel report…
By Edwin Githinji email: eddy.githinji022@gmail.com On the 5th of December every year, the world comes together in celebration of the world soil day, a day set apart to…
Kusaya aona ajira yenye tija kwa vijana ni kilimo Rufiji Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya aliwahamasisha Vijana waliopata mafunzo ya kilimo na ufugaji wa kuku wa…
The African nation of Tanzania is currently exporting horticulture produce valued at more than US$780 million. However, the industry’s potential is estimated to be more than US $2…
Mwanza, 23:11:2020 Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kurejesha mali za vyama vikuu vya ushirika Nyanza, Geita na Simiyu zenye thamani ya Shilingi Bilioni 61 zilizokuwa zikimilikiwa kinyume…
Musoma,19:11:2020 Serikali imezitaka taasisi na mashirika binafsi yanayopokea fedha toka kwa wahisani na wafadhili ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kilimo kuhakikisha kwamba wanazitumia katika miradi…
” Kilimo mseto kwa usalama wa chakula na kipato” Musoma, 19:11:2020 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya amehamasisha wakulima na wafugaji nchini kutumia kilimo mseto ili…