Search Agricultural Insights

Menu
Features

Dr. Agnes Kalibata-Hungry for change:

February 5, 2021 · Kilimokwanza · 4 min read

An open letter to African governments In 2020, the entire world knew what it was to be hungry. Millions of people went without enough to eat, with the most…

Habari/Makala

Homa ya nguruwe yapiga Kanda ya Ziwa

January 23, 2021 · Kilimokwanza · 2 min read

DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati  ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda ya Ziwa hivi karibuni…

Habari/Makala

Wasindika mchele na soko la Afrika mashariki

January 21, 2021 · Kilimokwanza · 3 min read

KAHAMA: 21.1.2021  WASINDIKAJI wa mchele  wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC  ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta wakigiombea wanunuzi wa…

Habari/Makala

Tani 36,298 za katani zazalishwa 2020

January 20, 2021 · Kilimokwanza · 2 min read

MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni kuzalisha tani 42,286 kwa…

Habari/Makala

Kilimo kupitia upya Sheria ya Ushirika

January 6, 2021 · Kilimo Tanzania · 2 min read

Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika  na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika itakayoendana na mazingira…