Bil 130/- za korosho zaingia katika mzunguko Lindi
NACHINGWEA 18.1.2021 BAADA ya minada 23 mkoa wa Lindi umefunga rasmi msimu wa korosho 2020 na kuanza kujiandaa na msimu wa ufuta. Msimu huo umemalizika baada ya kufanyika kwa mnada wa mwisho kwa wakulima wa Liwale kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale (Runali). Mnada huo wa 13 kwa Runali ni mnada wa 23 kwa mkoa…