Search Agricultural Insights

Menu

Homa ya nguruwe yapiga Kanda ya Ziwa

DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati  ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda ya Ziwa hivi karibuni unadhibitiwa. Aidha…

Serikali ya tanzania yaahidi nguvu zaidi uzalishaji alizeti

DODOMA: 22.1.2021 SERIKALI imesema ina mpango wa kuongeza nguvu uzalishaji wa zao la alizeti kwa lengo la kuhakikisha kuna mafuta ya kutosha ya kula yanayozalishwa nchini na hivyo kupunguza utegemezi…

Wasindika mchele na soko la Afrika mashariki

KAHAMA: 21.1.2021  WASINDIKAJI wa mchele  wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC  ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta wakigiombea wanunuzi wa ndani huku…

Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE *Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge…

Tani 36,298 za katani zazalishwa 2020

MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni kuzalisha tani 42,286 kwa mwaka huo….

Uzalishaji kapunga wapanda ,aksante kwa teknolojia mpya

MBARALI 8.7.2018 MATUMIZI ya teknolojia za kisasa kumewezesha uzalishaji katika mradi wa Kapunga kuongezeka na kufikia wastani wa asilimia 6.5 ya uzalishaji kwa hekta moja. Kauli hiyo imetolewa na Ofisa…