Runali wauza kilo milioni 1.7 za korosho mnada wa 11
LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665 za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa,...
Tanzania: Serikali kuendelea kukabili uvuvi haramu
BABATI 21:12:2020, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amekemea uvuvi usiozingatia sheria na taratibu na kwamba serikali imejipanga kukomesha tabia hiyo ili raslimali...
Tanzania: Waliosababisha ‘dhiki’ kuzuiwa kuwania uongozi Ushirika
LINDI: 22:12:2020 Msajiri wa vyama vya Ushirika Lindi, Edmund Massawe ameonya viongozi wa vyama vya ushirika waliosababisha hasara katika vyama vyao kutothubutu kuchukua fomu za...
Prof. Ntiba roots for an alternative production of aquatic proteins in Kenya
By Edwin Githinji E-mail: eddy.githinji022@gmail.com 23/11/2020 Kenya recognizes the urgent need for the protection of water sources, resources and the implementation of alternative production of...
Waziri wa Kilimo aelezea vipaumbele chake
DODOMA, 21:12;2020 WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo....
Kenya: Coffee Bill 2020 public participation meetings continue
Agriculture CS Hon Peter Munya has concluded a three-day public participation meeting on Coffee Bill 2020 at Nyamathumbi Primary School, Gatundu North Constituency in Kiambu...
Waziri wa Kilimo Prof Mkenda aeleza vipaumbele vyake
Dodoma Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha...
Waagizwa kusimamia uuzaji wa mbolea
Mbeya, 6:12:2020 VIONGOZI wa vijiji,mitaa na vitongoji wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameagizwa kusimamia uuzaji mbolea wenye kuzingatia bei elekezi iliyowekwa na Serikali ili kuepusha wakulima...
Wakulima Mvomero wanufaika na bima ya fidia ya mazao
Na Mwandishi Wetu, Mvomero 11.12.2020 Shirika la Bima la Taifa limewalipa wakulima watano wa Mvomero jumla ya shilingi milioni 23 ikiwa ni fidia ya mazao...
Advancing research on climate change: World Bank grants $60 million to help strengthen the resilience of the agricultural sector in Africa
This piece was originally published on the World Bank’s website. WASHINGTON – The World Bank Board of Directors today approved a $60 million International Development Association...