SERIKALI YA TANZANIA YAINGIA MAKUBALIANO NA WAFANYABIASHARA KUPIGA JEKI KILIMO CHA NGANO
DODOMA: 23.01.2021 Serikali imeingia makubaliano na wafanyabiashara ya zao la ngano kuwa wale wote waliokuwa wakiagiza ngano nje ya nchi sasa watanunua asilimia 60 ya ngano hiyo hapa nchini ili…