Search Agricultural Insights

Menu

Jinsi Tari Naliendele inavyoanzisha kilimo cha maharage Kusini ya Tanzania

 Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao  ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage ni zao maarufu zaidi duniani kati ya mazao mengine ya jamii ya mikunde. Maharage yalifika Tanzania miaka mia tatu (300) iliyopita. Nchini Tanzania na sehemu kubwa ya Afrika Mashariki, maharage yanazalishwa […]

Tanzania: Uchakataji korosho utakavyoleta neema kwa taifa

“Wakati umefika kwa watanzania kujifunza na kuzalisha kwa kasi  korosho ghafi si kwa kwenda kuziuza zilivyo bali kuzichakata ili kupata mahitaji mbalimbali ambayo yatasaidia bei ya korosho na mazao mengine mtambuka kuwa juu na kufaidisha jamii na taifa kwa ujumla” Na Beda  Msimbe MLIPUKO wa ugonjwa wa Covid 19 umeleta kizaazaa katika masoko mengi duniani […]

10 Powerful Agriculture Quotes From Dr Agnes Kalibata

Dr Agnes Kalibata is a champion for empowerment of smallholder households (agriculture) in Africa. She works in the “road” to get the African small farmer out of the vicious circle of poverty. She is the President of AGRA and UN Secretary-General’s Special Envoy for the 2021 Food Systems Summit. Below are 10 short timeless agriculture […]

Runali wauza kilo milioni 1.7 za korosho mnada wa 11

LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665  za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale (RUNALI) uliofanyika mjini Liwale hivi karibuni.Mauzo hayo yalifanywa kwa mfumo wa sanduku na mauzo ya mtandao (TMX) ambapo kampuni Baada ya kampuni 14 zilijitokeza kununua. Mnada huo […]

Tanzania: Serikali kuendelea kukabili uvuvi haramu

BABATI 21:12:2020, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amekemea uvuvi usiozingatia sheria na taratibu na kwamba serikali imejipanga kukomesha tabia hiyo ili raslimali zilizopo ziwe endelevu na zinufaishe kaya na taifa. Akizungumza na Wavuvi wa Mkoa wa Manyara alipofanya ziara mkoani humo Gekul alisema serikali itaendelea na operesheni zake za kupambana na uvuvi […]

Tanzania: Waliosababisha ‘dhiki’ kuzuiwa kuwania uongozi Ushirika

LINDI: 22:12:2020 Msajiri wa vyama vya Ushirika Lindi, Edmund Massawe ameonya viongozi wa vyama vya ushirika waliosababisha hasara katika vyama vyao kutothubutu kuchukua fomu za kuwania uongozi. Akizungumza baada ya mnada wa kumi wa korosho wilaya ya Liwale hivi karibuni, Masawe alisema kwamba vyama vya ushirika hasa vya mazao vinatarajia kuanza uchaguzi wiki ya Pili […]

Prof. Ntiba roots for an alternative production of aquatic proteins in Kenya

By  Edwin Githinji  E-mail:  eddy.githinji022@gmail.com 23/11/2020 Kenya recognizes the urgent need for the protection of water sources, resources and the implementation of alternative production of aquatic proteins. Kenya’s Principal Secretary State Department for Fisheries, Aquaculture and the Blue economies, Prof. Japhet Micheni Ntiba, made the statement in commemoration of World Fisheries Day. On the 20th […]

Waziri wa Kilimo aelezea vipaumbele chake

DODOMA, 21:12;2020 WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo. Waziri wa Kilimo amesema hayo leo wakati akikakabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Wizara ya Kilimo, Mtumba jijini Dodoma . […]

Kenya: Coffee Bill 2020 public participation meetings continue

Agriculture CS Hon Peter Munya has concluded a three-day public participation meeting on Coffee Bill 2020 at Nyamathumbi Primary School, Gatundu North Constituency in Kiambu County. He was joined by the area MP Hon. Wanjiku Kibe and Secretary Administration Mr. Kello Harsama. Farmers from three sub-counties: Gatundu North Githunguri and Gatundu North, have embraced the […]

Waziri wa Kilimo Prof Mkenda aeleza vipaumbele vyake

Dodoma Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazao mengi zaidi na kukuza uchumi wa kaya na taifa. Waziri wa Kilimo amesema hayo wakati akikabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Kilimo,  Japhet Hasunga katika hafla iliyofanyika makao […]

Kilimokwanza Assistant ×
Hello! I can help you find information. What would you like to know?
Kilimokwanza Assistant
Hello! How can I help you learn about Kilimokwanza today?