Singida: 13.01.2021 Maafisa Ugani wametakiwa kutoa elimu ya kilimo bora cha mazao ya biashara kwa kaya zote maskini nchini zinazonufaika na ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)…
Shinyanga: 11.1.2021 MAOFISA kilimo mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi ghalani kwa wakulima wa zao la choroko ili waache tabia ya kuuza mazao yakiwa bado shambani ….
Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika itakayoendana na mazingira ya sasa….
Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage ni zao maarufu zaidi duniani kati…
“Wakati umefika kwa watanzania kujifunza na kuzalisha kwa kasi korosho ghafi si kwa kwenda kuziuza zilivyo bali kuzichakata ili kupata mahitaji mbalimbali ambayo yatasaidia bei ya korosho na mazao mengine…
Dr Agnes Kalibata is a champion for empowerment of smallholder households (agriculture) in Africa. She works in the “road” to get the African small farmer out of the vicious circle…
LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665 za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale (RUNALI) uliofanyika…
BABATI 21:12:2020, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amekemea uvuvi usiozingatia sheria na taratibu na kwamba serikali imejipanga kukomesha tabia hiyo ili raslimali zilizopo ziwe endelevu na zinufaishe…
LINDI: 22:12:2020 Msajiri wa vyama vya Ushirika Lindi, Edmund Massawe ameonya viongozi wa vyama vya ushirika waliosababisha hasara katika vyama vyao kutothubutu kuchukua fomu za kuwania uongozi. Akizungumza baada ya…
By Edwin Githinji E-mail: eddy.githinji022@gmail.com 23/11/2020 Kenya recognizes the urgent need for the protection of water sources, resources and the implementation of alternative production of aquatic proteins. Kenya’s Principal Secretary…