February 5, 2021
by Kilimokwanza
An open letter to African governments In 2020, the entire world knew what it was to be hungry. Millions of people went without enough to eat, with the most desperate now facing famine. At the same time, isolation took on a new meaning, in which the lonely and most remote were deprived of human contact when they most needed […]
January 24, 2021
by Kilimokwanza
DODOMA: 23.01.2021 Serikali imeingia makubaliano na wafanyabiashara ya zao la ngano kuwa wale wote waliokuwa wakiagiza ngano nje ya nchi sasa watanunua asilimia 60 ya ngano hiyo hapa nchini ili kukuza soko la wakulima na kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa bidhaa hiyo. Makubaliano hayo yameingiwa leo Jijini Dodoma kati ya Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda […]
January 24, 2021
by Kilimokwanza
January 23, 2021
by Kilimokwanza
DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda ya Ziwa hivi karibuni unadhibitiwa. Aidha alisema tangu ugonjwa huo uanze mpaka sasa umeshasababisha vifo vya nguruwe 1,500 wenye thamani ya shilingi milioni 375. Ndaki aliyasema hayo leo jijini Dodoma alipokuwa […]
January 22, 2021
by Kilimokwanza
DODOMA: 22.1.2021 SERIKALI imesema ina mpango wa kuongeza nguvu uzalishaji wa zao la alizeti kwa lengo la kuhakikisha kuna mafuta ya kutosha ya kula yanayozalishwa nchini na hivyo kupunguza utegemezi wa mafuta hayo kutoka nje. Kwa mujibu wa takwimu zilizopo sasa uzalishaji wa ndani unakidhi asilimia 43. Aidha nchi inazalisha tani 270,000 za mafuta ya […]
January 21, 2021
by Kilimokwanza
KAHAMA: 21.1.2021 WASINDIKAJI wa mchele wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta wakigiombea wanunuzi wa ndani huku mavuno yameongezeka kutoka tani millioni 1.2 hadi tani millioni 1.8. Wamesema wale wanaokuja kununua kutoka nje wamekuwa wakiwekewa vikwazo hivyo ni vyema wakaruhusiwa. Wakizungumza kwenye mafunzo ya usindikaji wa zao […]
January 20, 2021
by Kilimokwanza
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE *Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu […]
January 20, 2021
by Kilimokwanza
KOROGWE: 20.1.2021 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu wa mbegu. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo itenge fedha katika bajeti yake kwa ajili ya kituo cha TARI […]
January 20, 2021
by Kilimokwanza
MUHEZA: 20.01.2021 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote zinazolima zao la mkonge kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche bora ya mkonge na kuigawa kwa wakulima ili kufufua mashamba zaidi na kuongeza uzalishaji zao la mkonge nchini. Ametoa agizo hilo leo wakati alipozindua rasmi zoezi la ugawaji miche bora ya mkonge iliyozalishwa katika kituo cha Utafiti […]
January 20, 2021
by Kilimokwanza
MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni kuzalisha tani 42,286 kwa mwaka huo. Hata hivyo alisema katika kipindi cha 2020-2025 Bodi ya Mkonge inampango wa kuongeza uzalishaji na kufikia tani 120,000 kwa mwaka. Alisema hayo leo wakati wa […]