Manufaa ya kilimo mseto yaelezwa

” Kilimo mseto kwa usalama wa chakula na kipato” Musoma, 19:11:2020 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya amehamasisha wakulima na wafugaji nchini kutumia...

Bil 56/- zatumika kujenga vihenge vya kisasa

Njombe Serikali ya awamu ya tano imetumia shilingi Bilioni 56 kujenga vihenge vya kisasa na maghala ili kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kufikia tani 501,000...