January 12, 2021
by Kilimo Tanzania
Shinyanga: 11.1.2021 MAOFISA kilimo mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi ghalani kwa wakulima wa zao la choroko ili waache tabia ya kuuza mazao yakiwa bado shambani . Imeelezwa kitendo cha kuuza mazao hayo yakiwa shambani kunanufaisgha walanguzi wakati wao wanabaki maskini. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi Zainab […]
January 6, 2021
by Kilimo Tanzania
Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika itakayoendana na mazingira ya sasa. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda wakati wa halfa ya kukabidhi magari, kompyuta na Laptop kwa Warajisi Wasaidizi wa mikoa ya […]
January 5, 2021
by Kilimokwanza
Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage ni zao maarufu zaidi duniani kati ya mazao mengine ya jamii ya mikunde. Maharage yalifika Tanzania miaka mia tatu (300) iliyopita. Nchini Tanzania na sehemu kubwa ya Afrika Mashariki, maharage yanazalishwa […]
January 5, 2021
by Kilimo Tanzania
“Wakati umefika kwa watanzania kujifunza na kuzalisha kwa kasi korosho ghafi si kwa kwenda kuziuza zilivyo bali kuzichakata ili kupata mahitaji mbalimbali ambayo yatasaidia bei ya korosho na mazao mengine mtambuka kuwa juu na kufaidisha jamii na taifa kwa ujumla” Na Beda Msimbe MLIPUKO wa ugonjwa wa Covid 19 umeleta kizaazaa katika masoko mengi duniani […]
January 5, 2021
by Kenya News
Dr Agnes Kalibata is a champion for empowerment of smallholder households (agriculture) in Africa. She works in the “road” to get the African small farmer out of the vicious circle of poverty. She is the President of AGRA and UN Secretary-General’s Special Envoy for the 2021 Food Systems Summit. Below are 10 short timeless agriculture […]
December 24, 2020
by Kilimokwanza
LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665 za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale (RUNALI) uliofanyika mjini Liwale hivi karibuni.Mauzo hayo yalifanywa kwa mfumo wa sanduku na mauzo ya mtandao (TMX) ambapo kampuni Baada ya kampuni 14 zilijitokeza kununua. Mnada huo […]
December 23, 2020
by Kilimo Tanzania
BABATI 21:12:2020, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amekemea uvuvi usiozingatia sheria na taratibu na kwamba serikali imejipanga kukomesha tabia hiyo ili raslimali zilizopo ziwe endelevu na zinufaishe kaya na taifa. Akizungumza na Wavuvi wa Mkoa wa Manyara alipofanya ziara mkoani humo Gekul alisema serikali itaendelea na operesheni zake za kupambana na uvuvi […]
December 23, 2020
by Editor
LINDI: 22:12:2020 Msajiri wa vyama vya Ushirika Lindi, Edmund Massawe ameonya viongozi wa vyama vya ushirika waliosababisha hasara katika vyama vyao kutothubutu kuchukua fomu za kuwania uongozi. Akizungumza baada ya mnada wa kumi wa korosho wilaya ya Liwale hivi karibuni, Masawe alisema kwamba vyama vya ushirika hasa vya mazao vinatarajia kuanza uchaguzi wiki ya Pili […]
December 23, 2020
by Editor
By Edwin Githinji E-mail: eddy.githinji022@gmail.com 23/11/2020 Kenya recognizes the urgent need for the protection of water sources, resources and the implementation of alternative production of aquatic proteins. Kenya’s Principal Secretary State Department for Fisheries, Aquaculture and the Blue economies, Prof. Japhet Micheni Ntiba, made the statement in commemoration of World Fisheries Day. On the 20th […]
December 21, 2020
by Linnet Muchoki
DODOMA, 21:12;2020 WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo. Waziri wa Kilimo amesema hayo leo wakati akikakabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Wizara ya Kilimo, Mtumba jijini Dodoma . […]