Waagizwa kusimamia uuzaji wa mbolea
Mbeya, 6:12:2020 VIONGOZI wa vijiji,mitaa na vitongoji wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameagizwa kusimamia uuzaji mbolea wenye kuzingatia bei elekezi iliyowekwa na Serikali ili kuepusha wakulima kuibiwa na wauzaji wasio waaminifu….