Skip to content
Kilimo Kwanza

African Agriculture and Food Systems

  • Articles
    • Features
    • Habari/Makala
    • Money
    • SAGCOT/AGCOT
    • Press Releases
    • Africa
    • Consultancy
  • Research
ENSW

Bil 130/- za korosho zaingia katika mzunguko Lindi

January 18, 2021 Kilimokwanza Habari/Makala

NACHINGWEA 18.1.2021 BAADA ya minada 23  mkoa wa Lindi umefunga rasmi msimu wa korosho 2020 na kuanza kujiandaa na msimu wa ufuta. Msimu huo umemalizika baada ya kufanyika kwa mnada…

Read More →

MIRADI 11 YA ERPP MOROGORO YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 97

January 15, 2021 Kilimokwanza Habari/Makala

IFAKARA 15.01.2021 Wizara ya Kilimo kupitia mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (ERPP) imefanikiwa kukamilisha miradi kumi na moja iliyopo mkoani Morogoro na itakabidhiwa kwa wakulima…

Read More →

Jinsi Tari Naliendele inavyoanzisha kilimo cha maharage Kusini ya Tanzania

January 5, 2021 Kilimokwanza Habari/Makala

 Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao  ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage ni zao maarufu zaidi duniani kati…

Read More →

Runali wauza kilo milioni 1.7 za korosho mnada wa 11

December 24, 2020 Kilimokwanza Habari/Makala

LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665  za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale (RUNALI) uliofanyika…

Read More →

Waziri wa Kilimo Prof Mkenda aeleza vipaumbele vyake

December 20, 2020 Kilimokwanza Habari/Makala

Dodoma Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazao mengi zaidi na kukuza…

Read More →

Wakulima Mvomero wanufaika na bima ya fidia ya mazao

December 11, 2020 Kilimokwanza Habari/Makala

Na Mwandishi Wetu, Mvomero 11.12.2020 Shirika la Bima la Taifa limewalipa wakulima watano wa Mvomero jumla ya shilingi milioni 23 ikiwa ni fidia ya mazao yao kuharibiwa na majanga ikiwemo…

Read More →

Kusaya aona ajira yenye tija kwa vijana ni kilimo

December 6, 2020 Kilimokwanza Habari/Makala

Kusaya aona ajira yenye tija kwa vijana ni kilimo Rufiji Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya aliwahamasisha Vijana waliopata mafunzo ya kilimo na ufugaji wa kuku wa nyama na…

Read More →

Agriculture transformation key to developed manufacturing, food sectors

October 24, 2020 Kilimokwanza Features

To transform the agriculture sector in its totality – crop farming, animal husbandry, aquaculture and fisheries from subsistence to commercial- manufacturing and food industry, must become well developed. For this…

Read More →

Tanzanian Ministry of Agriculture Announces Major Irrigation Scheme Development in Mbarali

October 17, 2020 Kilimokwanza Tanzania

Songwe The Tanzanian Ministry of Agriculture has announced its plans to construct infrastructure for the Nguvukazi Mwanavala irrigation scheme in the Imalilo Songwe area, Mbarali district. This significant development, covering…

Read More →

Serikali kujenga skimu ya umwagiliaji Nguvukazi mwanavala

October 17, 2020 Kilimokwanza Habari/Makala

Songwe Wizara ya Kilimo imesema itajenga miundombinu ya skimu ya umwagiliaji ya Nguvukazi Mwanavala katika kata ya Imalilo Songwe wilaya ya Mbarali yenye eneo linalokadiriwa kuwa hekta 6,500. Aidha shughuli…

Read More →

Posts pagination

Previous 1 … 49 50 51 52 53 … 55 Next
© 2025 Kilimo Kwanza. All rights reserved.
  • Articles
  • Research

A Digital Shamba Where Stories Grow Policy, and Data Feeds Action