Wasindika mchele na soko la Afrika mashariki
KAHAMA: 21.1.2021 WASINDIKAJI wa mchele wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta wakigiombea wanunuzi wa…
African Agriculture and Food Systems
KAHAMA: 21.1.2021 WASINDIKAJI wa mchele wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta wakigiombea wanunuzi wa…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE *Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri…
KOROGWE: 20.1.2021 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche…
MUHEZA: 20.01.2021 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote zinazolima zao la mkonge kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche bora ya mkonge na kuigawa kwa wakulima ili kufufua mashamba…
MUHEZA 20.01. 2021 Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alisema mwaka 2020 uzalishaji wa mkonge nchini ulikuwa ni tani 36,298 huku malengo yakiwa ni kuzalisha tani 42,286 kwa…
MBARALI 8.7.2018 MATUMIZI ya teknolojia za kisasa kumewezesha uzalishaji katika mradi wa Kapunga kuongezeka na kufikia wastani wa asilimia 6.5 ya uzalishaji kwa hekta moja. Kauli hiyo imetolewa…
NACHINGWEA 18.1.2021 BAADA ya minada 23 mkoa wa Lindi umefunga rasmi msimu wa korosho 2020 na kuanza kujiandaa na msimu wa ufuta. Msimu huo umemalizika baada ya kufanyika…
IFAKARA 15.01.2021 Wizara ya Kilimo kupitia mradi wa kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (ERPP) imefanikiwa kukamilisha miradi kumi na moja iliyopo mkoani Morogoro na itakabidhiwa…
TABORA: 14.01.2021 Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpangia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Tabora baada ya kushindwa kusimamia skimu…
Singida: 13.01.2021 Maafisa Ugani wametakiwa kutoa elimu ya kilimo bora cha mazao ya biashara kwa kaya zote maskini nchini zinazonufaika na ruzuku inayotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya…
Shinyanga: 11.1.2021 MAOFISA kilimo mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi ghalani kwa wakulima wa zao la choroko ili waache tabia ya kuuza mazao yakiwa bado…
Dodoma: 06.01.2021 WIZARA ya kilimo imesema inajipanga kuanza kupitia upya Sheria ya Ushirika na kupata maoni ya wadau ili kuwa na sheria mpya ya Ushirika itakayoendana na mazingira…
Na Beda Msimbe “Kiukweli kilimo cha maharage ni kipya katika maeneo hayo. Hapo zamani mazao ambayo wakulima walizoea kulima ni karanga,njugu na mbaazi” Maharage ni zao maarufu zaidi…
“Wakati umefika kwa watanzania kujifunza na kuzalisha kwa kasi korosho ghafi si kwa kwenda kuziuza zilivyo bali kuzichakata ili kupata mahitaji mbalimbali ambayo yatasaidia bei ya korosho na…
Dr Agnes Kalibata is a champion for empowerment of smallholder households (agriculture) in Africa. She works in the “road” to get the African small farmer out of the…
LIWALE:24:12:2020 JUMLA ya kilo 1,717,665 za korosho za daraja la kwanza na la pili ziliuzwa katika mnada 11 wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale…
BABATI 21:12:2020, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amekemea uvuvi usiozingatia sheria na taratibu na kwamba serikali imejipanga kukomesha tabia hiyo ili raslimali zilizopo ziwe endelevu…
LINDI: 22:12:2020 Msajiri wa vyama vya Ushirika Lindi, Edmund Massawe ameonya viongozi wa vyama vya ushirika waliosababisha hasara katika vyama vyao kutothubutu kuchukua fomu za kuwania uongozi. Akizungumza…
By Edwin Githinji E-mail: eddy.githinji022@gmail.com 23/11/2020 Kenya recognizes the urgent need for the protection of water sources, resources and the implementation of alternative production of aquatic proteins. Kenya’s…
DODOMA, 21:12;2020 WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo. Waziri wa Kilimo…
Agriculture CS Hon Peter Munya has concluded a three-day public participation meeting on Coffee Bill 2020 at Nyamathumbi Primary School, Gatundu North Constituency in Kiambu County. He was…
Dodoma Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazao mengi zaidi…
Mbeya, 6:12:2020 VIONGOZI wa vijiji,mitaa na vitongoji wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameagizwa kusimamia uuzaji mbolea wenye kuzingatia bei elekezi iliyowekwa na Serikali ili kuepusha wakulima kuibiwa na wauzaji…
Na Mwandishi Wetu, Mvomero 11.12.2020 Shirika la Bima la Taifa limewalipa wakulima watano wa Mvomero jumla ya shilingi milioni 23 ikiwa ni fidia ya mazao yao kuharibiwa na…