Waziri wa Kilimo aelezea vipaumbele chake

DODOMA, 21:12;2020 WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazao nchini kwa kutumia eneo dogo....