AASISI ZA FEDHA ZAAHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO
DODOMA: Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa...
Kampeni ya “ondoa mapori ongeza uzalishaji” yapamba moto Mtwara
Na Mwandishi Maalumu, Mtwara TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele Mtwara, imetoa mafunzo ya namna ya kubebesha vikonyo vya mikorosho katika mikorosho iliyozeeka...
Tanzania: Major Inputs Stimulus to Boost Small Scale Farmers
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) By Yasinta Amos in Arusha More than 100,600 smallholder farmers in Tanzania will be receiving grain and vegetable seeds’ grants worth...
Dr. Agnes Kalibata-Hungry for change:
An open letter to African governments In 2020, the entire world knew what it was to be hungry. Millions of people went without enough to eat,...
SERIKALI YA TANZANIA YAINGIA MAKUBALIANO NA WAFANYABIASHARA KUPIGA JEKI KILIMO CHA NGANO
DODOMA: 23.01.2021 Serikali imeingia makubaliano na wafanyabiashara ya zao la ngano kuwa wale wote waliokuwa wakiagiza ngano nje ya nchi sasa watanunua asilimia 60 ya...
BASIC DATA Crop Sub Sector Tanzania Mainland
...
Homa ya nguruwe yapiga Kanda ya Ziwa
DODOMA: 23.91.2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha ugonjwa wa homa ya nguruwe ulioikumba mikoa ya Kanda ya...
Serikali ya tanzania yaahidi nguvu zaidi uzalishaji alizeti
DODOMA: 22.1.2021 SERIKALI imesema ina mpango wa kuongeza nguvu uzalishaji wa zao la alizeti kwa lengo la kuhakikisha kuna mafuta ya kutosha ya kula yanayozalishwa...
Wasindika mchele na soko la Afrika mashariki
KAHAMA: 21.1.2021 WASINDIKAJI wa mchele wameitaka serikali kufungua soko la EAC na SADC ili waweze kuwa na bei yenye ushindani. Imeelezwa kuwa soko la nje limebanwa na kujikuta...
Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE *Halmashauri zinazolima mkonge zatakiwa kuanzisha vitalu vya miche WAZIRI MKUU Kassim...