🌟 Mjadala: ‘Mbinu za Kukabiliana na Visumbufu na Magonjwa ya Embe’
📅 Tarehe: 12 Januari | ⏰ Saa kumi jioni 🍋 Agribusiness East Africa, kwa ushirikiano na Chama cha Wakulima wa Maembe Tanzania (AMAGRO), COPRA, TOSCI, SAGCOT, TAHA, Diligent Consulting Limited, na Nature Ripe, wanakuletea mjadala muhimu unaozingatia mbinu za kukabiliana na changamoto zinazokumba zao la embe, ikiwemo visumbufu na magonjwa mbalimbali yanayoathiri mazao haya. Katika mjadala huu, tutajikita zaidi…




